Wednesday, May 4, 2016

Watoto Michelle na Nicole Renwick pamoja na Bryton Mugisha Wapata Kommunio ya kwanza

Watoto Michelle,Nicole na Bryton Jumapili May Mosi walipokea kommunio yao ya kwanza katika kanisa la Assumption Church lililopo Washington DC. Wazazi wa watoto hao Bi Bernadeta Kaiza na Leah Nyaki walijumuika na marafiki katika kusherehekea sikukuu hiyo muhimu.


No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake