Advertisements

Wednesday, June 22, 2016

KUMBUKUMBU:

Edmund Lawrence Mushi enzi ya uhai wake

Kuzaliwa:07/12/1973
Kufariki:22/06/2015
Leo 22/06/2016 Umetimiza mwaka mmoja tangu umefariki Huko Houston,TX,USA.Sisi ndugu zako umetuachia pengo ambalo halitazibika.Unakumbukwa na watoto zako Luis(Anwar) na Jermaine.Unakumbukwa na Baba yako Mzazi mzee Lawrence Mushi Kimbori,Wadogo zako 

Rudolf(dofu),Gaudence,Fulgence,Renatus(Kulwa),Claudia,Martha(Manka) na Mary(Mkakeni).Unakumbukwa na Ukoo wote wa Kimbori na Massawe.Unakumbukwa na ndugu Jamaa na marafiki zako wote popote pale walipo.Pia Unakumbukwa na wanajumuiya wote wa Tanzania Houston Community (THC) in Houston TX, USA.Bwana alitoa,Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe.

No comments: