ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 27, 2016

NG'ARING'ARI DIANA NA MUME WAKO GILBERT


Diana  Faustin na mume wake Gilbert Kaijage wa kionyesha utamburisho wa ndoa yao baada ya kufunga kanisani na kufuatiwa na sherehe iliyofanyika Njiro Arusha Tanzania. 
GILBERT NA DIANA.
Chini unaweza kujionea taswira mzima ya jinsi mambo yalivyokuwa yamenoga kwenye sherehe hiyo ya harusi ya wapendwa awa.


No comments: