Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin
Rutageruka (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo,
wakati akimkaribisha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage
kuzungumza na wanahabari kuhusu ufunguzi wa maonesho ya biashara ya 40 ya
kimataifa Dar es Salaam ambayo yatafunguliwa na Rais wa Rwanda, Paul
Kagame.
Waziri wa Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar
es Salaam leo mchana kuhusu Rais wa Rwanda, Paul Kagame kuzi
No comments:
Post a Comment