Advertisements

Friday, June 24, 2016

TANGAZO LA KISOMO NA FUTARI YA PAMOJA DMV

Ndugu Zetu Habiba Jetha na Farida Jetha wanatualika kwenye Kisomo cha Hitima cha kuwaombea Marehemu Baba Yao Said Jetha Mwanahanji pamoja na Kaka Yao Mohammed Said Mwanahanji, Kitakachofuatiwa na Futari ya Pamoja.

Futari itaandaliwa na Farida Catering.


Siku ya Jumamosi June 25, 2016

Kuanzia Saa Moja na Nusu jioni hadi Saa Nne usiku (7:30PM – 10PM)

Anuani:
Indian Spring Terrace Local Park
9717 Lawndale Dr.
Silver Spring, MD  20901

Kama Ilivyo ada, tunawaomba WaTanzania wote tujumuike Nao.

Ukipata Taarifa hii Mjulishe Mwenzio.

Kwa Taarifa Zaidi Wasiliana na
Habiba Jetha 240-778-7567
Farida Jetha 240-593-7370
Jabiri Jongo 240-604-0574
Ali Mohammed 301-500-9762
Shamis Abdullah 202-509-1355
Asha Hariz 703-624-2409

Karibuni Wote na Tunatanguliza Shukran za dhati.

No comments: