Saturday, June 11, 2016

VIDEO: MBUNGE LUGOLA ANENA MAZITO KUHUSU WABUNGE KUKATWA KODI YA MAPATO YA VIINUA MGONGO

Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola amesema kitendo cha Serikali kutaka kutaka kodi kwenye mapato ya viinua mgongo vya wabunge hakikubaliki na kumtaka Waziri wa Fedha na Mipango Dk Phillip Mpango kukiondoa kifungu hiCcho katika bajeti kuu.

No comments: