Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa akifungua mkutano wa 19 wa Usafiri
wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini
Dar es Salaam jana (leo).
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA)
Bwana Hamza Johari akifafanua jambo
katika mkutano wa 19 wa Usafiri wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam jana (leo).
Mkuu wa oganaizesheni ya
Usafiri wa Anga kwa nchi za SADC Bwana Geofrey Moshabesh akitoa taarifa ya
utekelezaji wa masuala ya usalama wa anga kwa wajumbe wa mkutano wa 19 wa
Usafiri wa anga kwa nchi za
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam jana (leo).
Wajumbe wa Mkutano wa 19 wa nbsp; Usafiri
wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo).
No comments:
Post a Comment