Mtoto Jasmine Jongo akiwa mwenye furaha aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa siku ya Jumatano June 6, 2016 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mtoto Jasmine akijiandaa kukata keki
Mtoto Jasmine akipata picha na kaka yake na dada yake
Mtoto Jasmine akipata picha ya pamoja na watoto wenzake.
Mtoto Jasmine akiimbiwa wimbo wa siku ya kuzaliwa na watoto wenzake,
No comments:
Post a Comment