Advertisements

Saturday, July 16, 2016

MAMA SHEKILANGO AFUNGA MAFUNZO KWA MADIWANI WALIOJENGEWA UWEZO NA TGNP MTANDAO KUHUSU BAJETI NA USAWA WA KIJINSIA

Mwanachama na mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali  la TGNP Mtandao, Bi. Zipora Shekilango akisoma hotuba wakati alipokuwa anafunga mafunzo yaliyofanyika kwa takribani siku tano kwa madiwani mbalimbali kutoka Tanzania mafunzo ambayo yalikuwa lengo la kuwajengea uwezo viongozi hao juu ya Bajeti ya Tanzania na hususani kuichambua kwa mlengo wa kijinsia ili waweze kuwasaidia wananchi wanaowaongoza.( Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog)
   Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP Bi Lilian Liundi akizungumza jambo wakati wa kufunga mafunzo yaliyofanyoka kwa takribani siku tano kwa madiwani mbalimbali kutoka Tanzania mafunzo ambayo yana lengo la kuwajengea uwezo viongozi hao juu ya Bajeti ya Tanzania na hususani kuichambua kwa mlengo wa kijinsia ili waweze kuwasaidia wananchi wanaowaongoza.
 Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP Mtandao, Edward Mhina akizungumza na madiwani mbalimbali kutoka Tanzania waliofika kwenye mafunzo ya siku tano kwa ajili ya kuwajengea uwezo viongozi hao juu ya Bajeti ya Tanzania na hususani kuichambua kwa mlengo wa kijinsia

Baadi ya madiwani mbalimbali kutoka Tanzania waliofika kwenye mafunzo ya siku tano kwa ajili ya kuwajengea uwezo viongozi hao juu ya Bajeti ya Tanzania na hususani kuichambua kwa mlengo wa kijinsia wakiendelea kufuatilia hotuba ya mgeni rasmi Bi. Zipora Shekilango wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa TGNP Mtandao.
Mkuu wa Program ya Taarifa na Utafiti kutoka TGNP, Gloria Shechambo(aliyesimama) akizungumza jambo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo kwa baadhi ya madiwani yaliyofanyika katika ukumbi wa TGNP Mtandao
Mwanachama na mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali  la TGNP Mtandao, Bi. Zipora Shekilango(kushoto) akimkabidhi cheti Mh Ashura M. Ngope kutoka kata ya Mchichira walaya ya Tandahimba cha ushiriki katika mafunzo hayo
Mwanachama na mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali  la TGNP Mtandao, Bi. Zipora Shekilango akimkabidhi Diwani John Bosco kutoka kata ya Regicheri cheti cha ushiriki wa mafunzo ya siku tano kwa ajili ya kuwajengea uwezo viongozi hao juu ya Bajeti ya Tanzania na hususani kuichambua kwa mlengo wa kijinsia
Mwanachama na mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali  la TGNP Mtandao, Bi. Zipora Shekilango akimkabidhi Diwani wa Kata ya Gwitiryo, Mh. Adam Said cheti cha ushiriki wa mafunzo ya siku tano kwa ajili ya kuwajengea uwezo viongozi hao juu ya Bajeti ya Tanzania na hususani kuichambua kwa mlengo wa kijinsia.
Mwanachama na mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali  la TGNP Mtandao, Bi. Zipora Shekilango(kushoto) akimkabidhi Mh Veronica Irecho cheti cha ushiriki wa mafunzo kwa madiwani yaliyofanika takribani siku tano katika ukumbi wa TGNP Mtandao
Mwanachama na mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali  la TGNP Mtandao, Bi. Zipora Shekilango akimbabidhi cheti cha ushiriki wa Mafunzo Diwani wa kata ya Isuto, Mh.Veronica Mzumbwe
Mwanachama na mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali  la TGNP Mtandao, Bi. Zipora Shekilango akimkabidhi cheti diwani Maiko M. Mwasonzwe katika hafla ya kufunga mafunzo hayo
Diwani ya kata ya Mishewe Mbeya Vujijini , Mh. Easter Mbega akitoa neno la shukrani kwa TGNP Mtandao walioandaa mafunzo hayo kwa madiwani yaliyofanyika kwa siku tano
Picha za pamoja
Mwanachama na mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali  la TGNP Mtandao, Bi. Zipora Shekilango(katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Diwani wa kata ya Songwa-Kishapu, Mh. Abdulkadr Ngoromole(wa kwanza kushoto). Afisa Habari wa TGNP Mtandao. Monica John pamoja na  Afisa program Utafiti na Uchambuzi kutoka TGNP, Bw. Alphonce Stima

No comments: