Advertisements

Saturday, July 9, 2016

MISA YA KISWAHILI JULY 10, 2016 NEW YORK

Wakristu wapendwa,
Tumsifu Yesu Kristu.
Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi, wanapenda kuwatangazia ya kuwa,
Misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili hii, tarehe 10 Mwezi Julai, 2016, Saa 8:00 mchana (Sunday 10, July 2016 at 2 pm). Tungeomba wakristu wote watanzania na Afrika ya Mashariki wajiunge nasi katika Misa hii. Na siku ya akina baba.
Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada ya Kiswahili.

Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 
120 East 106 Street, 
ew York, NY 10029. 
Between Lexington and Park Avenue. 

Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.

Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi. Karibuni tumtukuze Muumba Wetu kwa lugha yetu ya Kiswahili.
Mbarikiwe. Kutoka kwa Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi

Karibuni...

No comments: