Advertisements

Saturday, July 16, 2016

MKUU WA MAFUNZO NA UTENDAJI KIVITA MEJA JENERALI ISSA NASORO ATEMBELEA KAMBI YA TIMU TEULE ZA JWTZ ZITAKAZOZISHIKIRI MASHINDANO YA MAJESHI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

 Mkuu wa Mafunzo na Utendaji kivita Meja jenerali Issa Nasoro akikagua Paredi ya mapokezi katika kambi ya Bavuai Zanzibar alipofika kutembelea kambi ya Timu teule za JWTZ zitakazozishikiri mashindano ya majeshi kwa nchi za Afrika  mashariki yatakayofanyika Kigali Rwanda mwezi Agost Mwaka huu. 
 Mkuu wa Mafunzo na Utendaji kivita Meja jenerali Issa Nasoro (Kushoto)akiambatana na mkuu wa kambi ya Bavuai Luteni Kanali Mohamed Adam (katikati)walipofika Zanzibar kutembelea kambi ya Timu teule za JWTZ zitakazozishikiri mashindano ya majeshi kwa nchi za Afrika  mashariki yatakayofanyika Kigali Rwanda mwezi Agost Mwaka huu. 
 Mkuu wa Mafunzo na Utendaji kivita Meja jenerali Issa Nasoro akiongea na Wanamichezo katika kambi ya Bavuai Zanzibar alipofika kutembelea Timu teule za JWTZ zitakazozishikiri mashindano ya majeshi kwa nchi za Afrika  mashariki yatakayofanyika Kigali Rwanda mwezi Agost Mwaka huu. 

No comments: