Picha 3 za Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe Alivyofunga ndoa jana Zanzibar
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe jana aliuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zilifanyika Zanzibar.
No comments:
Post a Comment