Advertisements

Friday, July 8, 2016

Ushoga: Chaguo au Hisia?

2 comments:

Anonymous said...

Sijui kwanini mnauita ushoga? Kwa ninavyofahamu mimi neno ushoga ni urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanamke. Ama yule mwanamme mnaemwita shoga neno sahihi ni Senge. Na sifikirii kama kuna kosa hata kidogo kutumika kwa neno Senge au usenge kwani ni kiswahili sahihi kabisa kisichokuwa na hitilafu kinapotumika mahala pake. Na kusema yakwamba usenge ni chaguo au hisia? Kwa uzoefu tabia hii kwa kwetu Africa ni tabia inayoanzia tangu udogoni na mara nyingi wanakuwa ni wahanga wa child abuse kutoka aidha kwa miongini mwa family member au watu wa karibu wanaomzunguka katika makuzi yake. Mara nyingi wazazi wa mtoto inawachukua muda kugundua uharibifu huo wa mtoto na wanapokuja kugunduwa inakuwa imeshakuwa too late to fix it. Ni mara chache sana kwa kwetu kumuona mwanamme ngangari tangu utotoni kwake mara abadilike ukubwani na kuwa senge. Kwa hapa Marekani unaweza kusema ni chaguo hata kwa wazazi wa mtoto wenyewe binafsi wanaweza kupendekeza mtoto wao aidha awe senge au msagaji. Au kumuachia mtoto mwenyewe kuchagua aina gani ya sexy anataka kuwa.Na kwa hapa Marekani au nchi nyingi za Magharibi si ajabu hata kidogo kumuona mwanamme rijali ghafla kuamua kuwa Senge. Kwa hivyo tunapoamua kulizungumzia suala hili la usenge kama watanzania kama waafrica tunatakiwa kuwa makini sana sio kuiga tu yakuwa wazungu wanalizungumzia na kulitenda hadharani na sisi tufanye hivyo, si fikirii kama ni sahii hata kidogo. Fikiria jambo moja ni vitu vya kawaida sana kumuona baba wa kizungu akikumbatiana na mtoto wake wa kike mwari wote wakiwa robo tatu ya miili yao ikiwa uchi,ni vitu vya kawaida sana tu, sasa kwa tabia za kwetu sifikirii hata kama ukimwambia mtu atakuamini unachomwambia. Kwa hivyo tusiangalie usenge au ushoga kama mnavyoita kama tunataka kuiga tusiige nusu nusu wazungu wana mabo mengi kwa mfano mmoja kati ya wanandoa wakizungu anaweza kupendezwa na mtu mwingine na kutamani kufanya nae mapenzi na kuomba ridhaa kutoka kwa mwanandoa mwenzake kutimiza hamu yake hiyo na wakakubaliana bila ya kinyongo hata kidogo au wakati mwengine kubadishana au kuazimana wake au waume katika suala la ngono na kusiwe na tatizo hata kidogo. Kuna kitu kinaitwa utamaduni na utamaduni wa kiafrika unaambatana mara nyingi unaambatana na imani ya dini na hofu ya kumtii Mungu haijalisi ni muumini wa dini gani, karibu mafundisho ya dini zote za kiafrika usenge au ushoga ni miongini mwa tendo la aibu na miongoni mwa Zambi kubwa kabisa.

Anonymous said...

vitabu vyote vya dini vinasema ndoa ni baina ya mwamnamke na mwanamme.Kwanza toka lini umeona jogoo akamlala jogoo mwenzake? Jibu ni hapana. Usenge ni choice ambayo naona wewe unataka kupoteza umma na pia acha tabia ya kutaka kujionyesha kwamba wewe ni thinker.Kuna mambo ya kusikiliza na kujifunza upande mwingine lakini sio kuhusu usenge.