Napata wasiwasi kama hawa wabunge wetu wanaelewa maana halisi ya demokrasia kwani pasipokuwa na demokrasia basi kuna udikteta. Kwa uelewa wa walio wengi hapajawahi kuwepo na demokrasia ndani ya vyama vya CUF na Chadema au terminology hii inamaana tofauti ikiwa inatumika ndani ya vyama?
1 comment:
Napata wasiwasi kama hawa wabunge wetu wanaelewa maana halisi ya demokrasia kwani pasipokuwa na demokrasia basi kuna udikteta.
Kwa uelewa wa walio wengi hapajawahi kuwepo na demokrasia ndani ya vyama vya CUF na Chadema au terminology hii inamaana tofauti ikiwa inatumika ndani ya vyama?
Post a Comment