Advertisements

Saturday, July 16, 2016

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WANANCHI WAKE WA JIMBO LA RUANGWA MKOANI LINDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Mihewe kabla ya kuzungumza nao akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Julai 15, 2016.
Mke wa Waziri Mkuu,Mary Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Mihewe akiwa ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ziara ya jimbo la Ruangwa Julai 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Matambalale katika jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Julai 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee wa kijiji cha Chunyu kabla ya kuwasalimia wananchi akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa, Julai 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments: