Advertisements

Monday, August 22, 2016

Back to school Picnic yafana

Family Back to School picnic iliyo andaliwa na baadhi ya familia kutoka katika kanisa la kiruteli la St.Stephen lililoko katika mji wa Silver Spring jimbo la Maryland, kwa ajili kuwatakia mwaka mwingine wa mafanikio watoto warudio shule .Shughuli hiyo ilifanyika jana jumapili ya tarehe 21 mwaka 2016 katika viwanja vya Wheaton Regional Park.Pamoja nakuwa siku hiyo  ilikuwa na hali ya hewa ya mvua nyingi  lakini haikuweza kuzuia mkusanyiko huo usiendelee.

katika picha kijana Mac na wajomba zake Mr Joshua(kati) na Mr Galus(kulia) wakichoma nyama kwa ajili ya shughuli hiyo.

watoto wakiwa katika michezo waliyo cheza katika shughuli yao.

baadhi ya wazazi wao katika picha ya pamoja
Watoto katika picha ya pamoja

No comments: