Advertisements

Wednesday, August 3, 2016

KHADIJA KOPA: WANAWAKE KUACHIKA SI MWISHO WA MAISHA

Malkia wa muziki wa Taarab nchini, Khadija Omary Kopa, amewaambia wanawake wenzake kuacha uoga wa kuachika kwa kile alichokisema kuwa kupata talaka’ sio mwisho wa maisha.

Akiongea katika kipindi cha ‘Kubamba’ cha Times Fm, Kopo alisema: Wanawake hata msiogope kuachika, mbona mimi nishaachika mara kadhaa, sasa kama mwanaume haeleweki ya nini upate mateso bila sababu za msingi.”

No comments: