Advertisements

Monday, August 15, 2016

KIPINDI CHA JUKWAA LANGU LEO JUMATATU


Kipindi cha JUKWAA LANGU kinarejea LIVE leo jioni.
Kipindi hili kinakupa fursa ya kupata habari mbalimbali za kisiasa na kiuchumi kwa maendeleo ya Tanzania uitakayo ZiKiwemo headline za magazeti zilizotawala katika mitandao wiki uchambuzi makini ya mwasiasa wa wiki kutoka mtangazaji wako mahili Mubelwa Bandio.
Yakiwemo uchambuzi wa uchaguzi wa DICOTA

Ungana nasi kuanzia saa 11 kamili jioni majira ya Marekani Mashariki (5:00pm ET) na hii ni kila siku ya Jumatatu kupitia www.kwanzaproduction.com ama kupitia TuneIn http://tun.in/sfeLX
Kwa walio Marekani na Canada piga 240 454 0093

Karibuni

No comments: