Advertisements

Thursday, August 18, 2016

MISHUMAA YA KALE LEO ALHAMISI

Kipindi cha MISHUMAA YA KALE kinarejea LIVE leo jioni.
Kipindi hili kinakupa fursa ya kusikiliza nyimbo nyingi bora zilizotamba enzi hizo DUNIANI huku ukipata simulizi za wasanii hao enzi zao walivyokua wakisumbua DUNIIA kwa umahili wa muziki wao, uchambuzi makini wa wawasanii wa waliotamba kutoka mtangazaji wako mahili Mubelwa Bandio.
Wewe unaita muziki wa zamani lakini sisi tunaita muziki bora

Ungana nasi kuanzia saa 11 kamili jioni majira ya Marekani Mashariki (5:00pm ET) na hii ni kila siku ya Alhamisi kupitia www.kwanzaproduction.com ama kupitia TuneIn http://tun.in/sfeLX
Kwa walio Marekani na Canada piga 240 454 0093

Karibuni

No comments: