Advertisements

Sunday, August 28, 2016

MSIBA Washington, D.C. (DMV)

MSIBA WASHINGTON, D. C., DMV
Marehemu mzee Joel
Kwenu ndugu zangu, napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kuitikia wito nilio toa jana wa kufanikisha safari ya mwisho ya Mzee wetu John Lugendo, “Mzee Joel”.  Hadi sasa tumefanikiwa kupata takribani $10,000.00 na gharama ya safari yake ya mwisho ni $15,000.00. Bado tunahitaji $5,000.00.

HARAMBEE JUMAPILI LEO, August 8, 2016
Leo Jumapil, August 28, 2016 tutakua na Harambee kwaajili ya  kufanikisha kumuhifadhi ndugu yetu Joel. Harambee itafanyika kwenye anuani hii:
Indian SpringsTerrace Local Park
9717 Lawndale Dr, Silver Spring MD, 20901
Kuanzia 6:00pm to 10pm

Kwa moyo mkunjufu na wadhati nakuomba utusaidie chochote ili tuweze kumuhifadhi Mzee wetu Joel.

Bank of America
Name: Jasmine Bennett
Account: Checking Acc #: 4460 3716 4777
Routing Number: 052001633

Michango online Gofundme: Safari ya mwisho ya Mzee Joel

Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na:
(1) Iddi Sandaly 301-613-5165 (2) Mchungaji Matta 703-863-2727 
(3) Lilian Morgan 240- 351 3438 (4) Samuel Mushi 469- 290 -9529
(5) Saidi Mwamende 301-318-1501 (6) Mama Mushala 301-807-4934

Mungu akuzidishie pale utakapo toa
Liberatus Mwang'Ombe "Libe"

Kusoma walaka wangu wa jana click SOMA ZAIDI*_MSIBA Washington, D.C. (DMV)_*

Kwenu ndugu jamaa na marafiki, Mzee wetu John Lugendo maarufu kwa jina la Mzee Joel hatunaye tena. Mzee Joel amefariki baada ya kudondoka ghafla na kuchukuliwa na ambulance hadi hospital ya Washington Adventists. 

Binafsi nafahamiana na Mzee Joel kwa zaidi ya mika 10. Mzee Joel ni moja ya watu walio nipa miongozo nilipo fika Marekan. Kwa sasa tunafanya mpango wa kumrudisha nyumbani.

Bajeti ya gharama za kumrudisha nyumbani ni $15,000.00 ambapo tumefungua account ya bank na gofundme. Kwa moyo mkunjufu na wadhati nakuomba utusaidie chochote ili tuweze kumrejesha nyumbani Mzee wetu Joel.

Bank of America
Jasmine Bennett
Checking Acc #: 4460 3716 4777
Routing #: 052001633

Pia tutakua na harambee Jumapili hii August 28, 2016:

Indian SpringsTerrace Local Park
9717 Lawndale Dr, Silver Spring MD, 20901
Kuanzia 6:00pm to 10pm

Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na:
1. Iddi Sandaly
301-613-5165
2. Mchungaji Mbatta
703-863-2727
3. Lilian Morgan
240- 351 3438
4. Samuel Mushi
469- 290 -9529
5. Saidi Mwamende
301-318-1501
6. Mama Mushala
301-807-4934

Mungu akuzidishie pale utakapo toa
Liberatus Mwang'Ombe "Libe"No comments: