Advertisements

Thursday, August 18, 2016

UONGOZI WA SIMBA WATOA TAMKO BAADA YA MO DEWJI KUKUBALIWA KUIENDESHA SIMBA KWA MFUMO WA HISA1 comment:

Anonymous said...

Sisi watanzania tumelaanika tena wala sio laana ndogo. Kutakuwa na madawati hewa vile vile yaani watanzania ni watu wa hovyo sijawahi kusikia duniani. Tena mwalimu anaetegemewa kuwa kioo na dira katika jamii na anadhamana ya kufunda vijana ambao ndio chanzo cha nguvu kazi ya taifa anakuwa si mwaminifu na mwizi sasa hao anaowasomesha maadili mema yatatokea wapi? Kiasi watanzania tunaendelea kuwa taifa la watu wasio makini katika nyanja mbali mbali kumbe tatizo ni kubwa mno kuliko tunavyoliangalia nje nje. Halafu raisi wa nchi anakuwa mkali kusimamia upuuzi wa namna hii watu ambao ni wa hovyo vile vile wanaanza kupanua midomo yao kutetea maovu yaendelee kwa kisingizio cha demokrasia,jamani hata usenge au ushoga ni demokrasia kwa nchi za magharibi kwa hivyo kumbe demokrasia inabidi ifuate maadili ya sehemu husika kwa kuzingatia matakwa ya walio wengi sio kupiga kelele demokrasia, demokrasia, maadili je yasizingatiwe kwa sababu ya demokrasia? Ukiangalia utaona jamii nzima ya kitanzania kuna tatizo la maadili na uaminifu na mambo mawili yanatakiwa kufanyika ni kuwa na somo maalum mashuleni ingawaje kutakuwa na kazi kuwapata walimu wa fani hiyo na la pili kuwe na adhabu kali kwa kosa la maadili yaani iwe sawa na kosa la ufisadi.