Advertisements

Thursday, September 8, 2016

AJALI YATOKEA ENEO LA PALM BEACH JIJINI DAR

Kuna ajali imetokea eneo la Palm Beach muda wa saa 12:15 asubuhi ya leo Alhamisi gari aina ya Altezza au Subaru limeharibika vibya maana likiwa vipande vipande kutokana na kugonga nguzo ya taa za barabarani.

Ni kama vile imepigwa Bomu, Sidhani kama kuna mtu katoka salama

No comments: