Nchi ya Marekani jana (Septemba 11) iliadhimisha miaka 15 tangu kutokea kwa mashambulio makubwa ya kigaidi nchini humo.
Ni mashambulio hayo yaliyoisukuma Marekani katika vita dhidi ya ugaidi ambayo athari zake zimesambaa duniani kote hivi sasa
Mubelwa Bandio anakuja na taarifa zaidi kuanzia siku ya tukio mpaka athari zake katika uchaguzi ujao

No comments:
Post a Comment