Advertisements

Wednesday, September 7, 2016

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MAKAZI YAKE MAPYA MJINI DODOMA

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama kuhusu ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu, kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia kwake ) wakikagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia kwake ) wakikagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Badhi ya Mawaziri na viongozi wa mkoa wa Dodoma baada ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7,2016. Katikati ni mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia kwake ) wakikagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 comments:

Anonymous said...

Jengo kama shule ni la mtu mmoja tu au ni kijiji. Tunaposema kubana matumizi tuko sahihi. Wangapi watakuwa na makazi kama hayo na gharama zake je!

Anonymous said...

Hapa paka kieleweke hakuna kurudi nyuma!Dodoma yatu hiyo inakuja