Advertisements

Saturday, September 3, 2016

MISA YA KUMUAGA MAREHEMU JOEL LUGENDO LEO JUMAMOSI

Marehemu Joel Legendo


Kamati ya Mazishi inapenda kuwajulisha kuwa Marehemu Joel Lugendo atasafirishwa kwenda kuzikwa nyumbani Tanzania. Michango iliyokusanywa ni $23,335.Tutatoa Taarifa kamili ya Mapato na Matumizi baada ya Mwili kusafirishwa.

MISA YA KUMUAGA MAREHEMU:

MISA ya kumuaga Marehemu itafanyika siku ya Jumamosi wiki hii (3/9/2016) (September 3, 2016). 
Muda, ni Kuanzia saa Nne na Nusu za Asubuhi(10:30 AM).

Mahala Misa Itakapofanyika ni:

Living Faith Lutheran Church
1605 Veirs Mill Rd (At Broadwood Dr)
Rockville, MD 20851

Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na:
1. Iddi Sandaly
301-613-5165
2. Mchungaji Mbatta
703-863-2727

3. Samuel Mushi
469- 290 -9529
4. Saidi Mwamende
301-996-4029

5. Liberatus Mwangombe  
240-423-3331
6. Mama Mushala
301-807-4934

7. Lilian Morgan
240- 351 3438
8. Joha Nyanganyi
240-813-5563

Asanteni sana Wote

6 comments:

willymwamba said...

Pole sana ndugu wa karibu. Huyu alikuwa mtu mwema Sana.Mungu amrehemu. RIP

Anonymous said...

DMV MKO JUU NDIO MAANA TUNAWAKUBALI MNAUSHIRIKIANO MZURI,.

Anonymous said...

Ndiyo tupo juu hatutaki jumuiya tukipata shida tunasaidiana yatosha na vijimambo yetu ipo juu yatisha sana,mtuachage tuu na jumuiya,yenu

Anonymous said...

Hakika alikuwa mtu mwema

Anonymous said...

huu ushirikiano uwepo tokea mtu anaumwa, siyo kwenye kifo tu

Anonymous said...

Rest in peace Joel