Advertisements

Sunday, September 4, 2016

MTATIRO: RAISI HAWEZI KUZUIA STAHIKI ZA WANASIASA WASTAAFU

3 comments:

Anonymous said...

Kwani Maalim Seif kastaafu hata apewe stahiki? Ilikuwa sawa kwa Maalim Seif kukataa kuamkiana na Dr Shein mbele ya hadhara ya umma?

Anonymous said...

Nonsense!!! Mtu ambaye hatambui urais wa Dr. Shein wala uhalali wa serikali ya Dr. Shein ana sababu gani ya kutarajia kulipwa stahiki na serikali asiyoitambua? Kwa serikali kuendelea kumlipa ni kujipendekeza kwake. Mwarobaini wake ni kumuacha asubiri mpaka atakapopatikana rais anayemtambua na serikali anayoitambua! Kwa akili zao matope, hakuna mwenye uhalali wa kuendesha shughuli za serikali huko Zanzibar. Kwahiyo, lazima waachwe waendelee kusubiri!

Anonymous said...

Refarii katika chaguzi ni tume ya uchaguzi na si raisi.Raisi ni mwanachama wa CCM na anahaki ya kufurahia na kupongeza ushindi wa chama chake.