ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 4, 2016

MWANAMITINDO MAKEKE ANAOMBA KURA YAKO

Hello Tanzanians kwa pamoja tuungane kumpigia Kula@makeke_international ili kuingia kwenye category ya MALE CONTINENTAL STYLE & FASHION INFLUENCER (AFRICA).  
FANYA HIVI INGIA KATIKA PAGE HII @abryanzstyleandfashionawards  kipengele namba 5.MALE CONTINENTALSTYLE & FASHION INFLUENCER (AFRICA)
#asfa2016
#tabid 
#VOTE4MAKEKE
#VOTE4AFRICA

Kwa urahisi zaidi tumia INSTAGRAM 
Ingia hapa @abryanzstyleandfashionawards  then nenda kipengele  namba 5.MALE CONTINENTAL STYLE & FASHION INFLUENCER (AFRICA) andika i nominate @makeke_international

No comments: