Mama Banyikwa mama yake na Mary Ngola akiwa ndani ya jeneza tayari kwa safari ya kwenda kuifadhiwa kwenye nyumba ya milele, Mama Banyikwa alifariki ghafla siku ya ijumaa huko nyumnani Tanzania.
Mary Ngola akiwa na uso wa majonzi kwa kuondokewa na mama yake mzazi, Kwa taswira zaidi ya msibani nenda kwenye soma zaidi.
Bea Lujwangana akiwa msibani hapo
No comments:
Post a Comment