Advertisements

Saturday, September 3, 2016

ZOEZI LA HUDUMA YA PASIPOTI KUFANYIKA LEO DURHAM,NC


Image result for tanzania passport
Leo Jumamosi Sept 3, 2016 Afisa kutoka Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC atatoa huduma ya kushughulikia maombi ya pasipoti kwa Watanzania wanaoishi North Carolina, zoezi hili litafanyika kwenye anuani hii 5219 Page Rd, Durham, NC 27703

 Watanzania wanaohitaji huduma hiyo waje wamekamilika na vielelezo vyote na nini unachohitajika kuja nacho bofya hapa hii ni kuondoa usumbufu na kuokoa muda, wahi mapema kukamilisha taratibu zinazohitajika.

Huduma itatolewa kuanzia saa 9:30 alasili (3:30 pm) mpaka saa 12 jioni (6pm).


Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Mwenyekiti wa UTNC
chairman@utnc.org
336 214 0218

MPIGA PICHA ZA PASSPORT ATAKUWEPO GHARAMA NI $20 KWA PICHA 5
No comments: