Advertisements

Thursday, October 6, 2016

Arobani ya Marehemu Khadija Juma - Boston, MA

Kwa niaba ya familia ya Khadija Juma
Inawataarifu kisomo cha Arobaini ya Marehemu Khadija kisomo hicho kitafanyika siku ya jumamosi October, 22, 2016
10 Putnam Street
Roxbury, MA
kuanzia Tisa jioni mpaka saa 12 jioni (3PM-6PM).
Tafadhali ukipata ujumbe huu mjuulishe mwenzako. Tunamuomba Mungu atuwafikishe na atukubalie duwa zetu tunatanguliza shukurani.

Kwa Habari zaidi unaweza kuwasiliana na
Halima: 617-953-5375
Zuweina: 617-308-5323

Idrisa: 617-504-9804

No comments: