Advertisements

Friday, October 7, 2016

KIMBUNGA MATTHEW CHAWA TISHIO, WATU 269 WAPOTEZA MAISHA HAITI

Two days after the storm, authorities and aid workers in Haiti still lack a clear picture of what they fear is the country's biggest disaster in years.
Mji wa Les Cayes, Haiti unavyoonekana kwenye picha baada ya kukumbwa na kimbunga Matthew siku ya Alhamisi Oktoba 6, 2016.
A woman cries amid the rubble of her home in Baracoa.
Mwanamke wa mji wa Baracoa nchini Cuba akiangua kilio  baada ya nyumba yake kubomolewa na kimbunga Matthew.
People cross the La Digue river on October 5.
Watu wakijaribu kuvuka mto La Digue siku ya Jumatato Octoba 5, 2016 nchini Haiti ambapo kimbunga cha Matthew kimesababisha watu 269 kupoteza maisha.
Evacuees return to their homes in the Carbonera community of Guantanamo, Cuba, on October 5.
Wanajumuiya ya Carbonera mji wa Guantanamo nchini Cuba wakirejea kwenye makazi yao siku ya Jumatano Oktoba 5, 2016 baada ya kimbunga Matthew kuleta madhara kwenye mji huo,
Watu wakiwa wamesimama ufukweni kaunti ya Broward, Florida wakati upepo wa kimbunga Matthewulipokua ukivuma kwa spidi ya maili 120 kwa saa siku ya Alhamisi Octoba 6, 2016 siku ambayo pwani ya Florida ilikumbwa na kimbunga hicho ambacho kimekua tishio kwa watu na mali zao 

Hurricane Matthew moves through Paradise Island in Nassau, Bahamas, October 6. The head of the Bahamas National Emergency Management Authority, Capt. Stephen Russell, said there were many downed trees and power lines, but no reports of casualties.

Mji wa Nassau, Bahamas ukikumbwa na kimbunga cha Matthew siku ya Alhamisi Octoba, 6, 2016
Residents repair their homes in Les Cayes, Haiti, on October 6. <a href="http://www.cnn.com/2016/10/04/americas/hurricane-matthew/index.html" target="_blank">The damage from Hurricane Matthew</a> was especially brutal in southern Haiti, where sustained winds of 130 mph punished the country.
Wakazi wa mji wa Les Cayes, Haiti wakikarabati nyumba zao baada ya kimbunga Matthew kuleta madhara makubwa ikiwemo watu 269 kupoteza maisha.
Bumper-to-bumper traffic lines Interstate 26 in Columbia, South Carolina, as people drive west on October 5.
Hii ni siku ya Jumatano Oktoba 5, 2016 watu wakiwa kwenye foleni kubwa ya magari  barabara ya I 26 wakijaribu kuhama mji wa Columbia, uliopo jimbo la Corolina ya Kusini kujinusuru na kimbunga Matthew ambacho awali kilitangazwa kupita maeneo hayo ya mji huo.
A police officer walks along the beach as waves crash ashore as Hurricane Matthew approaches  on Thursday, October 6, in Singer Island, Florida.

Afisa wa Polisi akifanya doria ufukweni mwa kisiwa cha Singer kilichopo Florida.

The first outer bands of rain from Hurricane Matthew pass over downtown Orlando, Florida, on Thursday evening, October 6.
Mvua za kwanza za kimbunga Matthew na upepo mkali na wingu kubwa zikiwa zimetanda katika mji wa Orlando, Florida siku ya Alhamisi Octoba 6, 2016.
A lifeguard patrols the beach in Jacksonville, Florida, ahead of the storm on October 6.
Gari la doria likiangalia usalama kwenye ufukwe wa mji wa Jacksonville, Florida.
Kevin Forde and John Haughey put plywood on a Miami Beach window on October 6.
Wananchi Miami Florida wakijiandaa  kwa kuweka mbao kwenye madirisha ya nyumba zao siku ya Alhamisi Octoba 6, 2016.
People carry a coffin and try to cross the La Digue river on October 5 after a bridge collapsed in Petit-Goave, Haiti.
Watu wakiwa wamebeba jeneza la mpendwa wao wakijaribu kuvuka mto La Digue kutokana na daraja la Petitt-Goave kuvunjika kutokana na kimbunga Matthew.
People embrace at their damaged home in Baracoa, Cuba. The hurricane rolled across the sparsely populated tip of Cuba, destroying dozens of homes in the country's easternmost city and leaving hundreds of others damaged.
Hapa ni mji wa Baracoa nchini Cuba watu wakiumbatiana kujifariji baada ya kimbunga Matthew kuleta madhara kwenye mji huo. Picha zote kwa hisani ya CNN.

No comments: