Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jenerali Mbazi Msuya akifafanua jambo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliohusu utoaji wa tahadhari ya hali ya Ukame utakaosababisha kukosekana kwa chakula kwa baadhi ya maeneo nchini Oktoba 20, 2016. Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano ofisi hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bw. Paschal Waniha (wa kwanza kushoto) akitoa hoja za masuala ya umuhimu wa taarifa za hali ya hewa katika kujiandaa kukabili maafa wakati wa Mkutano na waandishi wa habari Oktoba 20, 2016.
No comments:
Post a Comment