Advertisements

Wednesday, November 9, 2016

HUWEZI AMINI LAKINI WAMAREKANI WAMEAMUA DONALD TRUMP NDIYE ATAKAYEKUWA RAIS WA MAREKANI

Image result for TRUMP

1 comment:

Anonymous said...

Demokrasia imefanya kazi yake na kutendewa haki asilimia mia moja. Kwa waliokwa nje ya Marekani wanaweza wasiamini lakini waliokuwemo ndani ya Marekani na kufuatilia siasa kwa makini na waliokuwa hawakufuata udanganyifu wa hali ya juu na upotoshaji wa makusudi uliofanywa na vyombo vya habari katika kumpamba Hilary Clinton kuwa ni zaidi ya Donald Trump wakati katika hali halisi,Hillary Clinton alikuwa ni mgombea dhaifu kuwahi kusimamishwa na Democrats katika nafasi ya uraisi katika miaka ya hivi karibuni. Machache katika mengi yaliomponza Hillary na Democrats ni kwamba Bernie Sanders ndio lilokuwa chaguo halisi la wananchi wengi lakini mizengwe inayofanana na siasa za vyama vya kibongo kwa chama kumbeba mtu wanaomtaka wao badala ya wapiga kura ndiko kulikoibwaga Democrats na Hillary wao.