Advertisements

Sunday, November 20, 2016

IBADA YA MISA KISWAHILI BALTIMORE. LEO JUMAPILI

Image result for Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Mnakaribishwa sanakwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
Ikiwa ni ibada ya kumaliza mwaka huu 2016 pamoja na kushiriki Thanksgiving.
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki laMtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,
Phone: (410) 362-2000
Jumapili Tarehe 20 Novemba 2016,
Saa nane kamili mchana (2:00 PM)​.
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha Ndugu, marafiki na jamaa zako. Unakaribishwa kujiunga kwa mawasilianoya barua pepe anwani.
WauminiWakatoliki@gmail.com
Kwa niaba ya Fr. Honest Munish ni katibu msaidizi Joseph Mzanila.

No comments: