Advertisements

Thursday, November 10, 2016

Idris Sultan amkacha Wema Sepetu baada ya kukutana kwenye show ya Fiesta.


Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye taharuki na kupigwa mshangao hata kujibu maswali kwa wasiwasi...Jionee mwenyewe 
VIDEO

No comments: