Advertisements

Monday, November 7, 2016

KUELEKEA KWENYE UCHAGUZI WA KIHISTORIA MAREKANI VYOMBO MBALI MBALI VYA HABARI VIMEJIKITA KUPATA MAONI YA WATU MBALI MBALI.

Kuelekea kwenye uchaguzi wa kihistoria hapa Marekani vyombo mbalimbali vya habari vinadokoa dokoa maoni ya watu mbalimbali juu ya mitazamo yao kuelekea uchaguzi huu wa Marekani unaofika kilele hapo kesho. Hapa ni Shomari wa V.O.A ya Washington. DC yupo ndani ya New York akipata maoni kutoka kwa mkazi wa New York Bwana Seif Akida. Shomari yupo New York City na atapata fursa ya kupata maoni ya watu mbali mbali hadi kesho akisubiri kutangazwa kwa rais mpya wa Taifa ili lenye nguvu duniani United State of America.


No comments: