Advertisements

Sunday, November 20, 2016

PITA PITA YA VIJIMAMBO PANDE ZA MASSACHUSETTS


Gloria akiwa na mdhamini wa pendo lake siku ya kushereheka kuzaliwa kwake, Mume wa Gloria alishereheka kwa kujumuhika na marafiki wa pande za Massachusetts wale majirani wa miji mingine.

Birthday boy akisakata rumba na mdhamini wa pendo lake, kwa taswira zaidi nenda soma zaidi.
Mume wa Gloria akiachea tabasamu la kumtega mdhamini wa pendo lake


Dj Masoud wa Boston akipozi kwa mkao wa pesa pesa na pamba zake za Walmart na change anapokea.
 Marafiki wakiwa kwenye meza

No comments: