Advertisements

Wednesday, November 9, 2016

RAIS DKT. ATEMBEKLEA UJENZI WA BARABARA ZA KIPAPO-MGELEMA NA KUYUNI NGOMENI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, alipofanya katika ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo Novemba 7, 2016. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo
Afisa Mdhamini wa Wizara ya Afya Nd,Bakari Ali Bakari akitoa ufafanuzui wa utoaji wa huduma kwa Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipofika Kijijini hapo pamoja na kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo

No comments: