Mkuu
wa Masoko na Hazina wa BancABC, Barton Mwasamengo, (kushoto), na Mkuu wa
Kitengo cha Wateja Binafsi na wafanyabiashara wadogo wadogo, Joyce Malai,
wakionyesha kadi inayoonyesha uzinduzi wa ofa ya riba asilimia 16% kwa wateja
wanaofungua akaunti ya amana ya muda maalum msimu huu wa sikukuu. Uzinduzi huo
ulifanyika Desemba 5, 2016 makao makuu ya BancABC jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Masoko na Hazina wa BancABC, Barton Mwasamengo, (kushoto), na Mkuu wa
Kitengo cha Wateja Binafsi na wafanyabiashara wadogowadogo, Joyce Malai, wakati
wa mkutano na waandishi wa habari, kuzindua ofa ya riba asilimia 16% kwa wateja
wanaofungua akaunti ya amana ya muda maalum msimu huu wa sikukuu. Uzinduzi huo
ulifanyika Desemba 5, 2016 makao makuu ya BancABC jijini Dar es Salaam.
Bi.Upendo Nkini(kulia), akiwakaribisha maafisa hao tayari kuzungumza na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake