Advertisements

Saturday, December 3, 2016

Kipindi cha Reggae Time Pride FM Dec 3 2016 ....... Maadhimisho ya kimataifa, mwezi Disemba

Katika Reggae Time ya wiki hii, mbali na mambo mengine pia tumeangalia sherehe ama maadhimisho makubwa ya kimataifa katika siku tisa za mwanzo za mwezi Disemba.
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
Ama kupitia TuneIn tun.in/seTTx

No comments: