ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 7, 2016

MTUNZI WA VITABU VYA KIBIASHARA YASSIN KAPUYA KUZUNGUMZA KATIKA SHEREHE ZA UHURU MJINI OAKLAND

Hapo Juu: Ndg. Yassin Kapuya akionyesha toleo lake la kwanza ya kitabu cha "7 Powerful Lessons to Succeed in Business" Sherehe hizi zitafanyika December 10, 2016 katika ukumbi wa California Ballroom anuwani 1736 Franklin St, Oakland, CA 94612. Idadi ya watu kati 150 - 200 wa mataifa mbalimbali uhudhuria sherehe hii.

No comments: