Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri
kilichofanyika leo tarehe 07 Desemba Ikulu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho
pia kilihudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake