Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman mara alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Ungujakatika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo.
Kikundi cha Brass Band cha Jeshi la Polisi Zanzibar wakiongoza matembezi ya Taasisi mbali mbali zilizoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Vijana waliobeba bango linalotoa ujumbe usemao Siku ya Maadili na Haki za Binadamu”Imarisha Utawala Bora kwa Kukuza Uadilifu,Uwajibikaji,Haki za Binadamu na Mapambano Zidi ya Rushwa”wakati wa matembezi ya maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono vijana walioshiki matembezi katika wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Vijana walioshiki matembezi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi hayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
Ngoma ya Kibati ikichezwa na kikundi cha Vijana Ngoma Group katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi na wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)alipokuwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)alipokuwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,wakimsikiliza Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa UN Bi,Anna Liboro Senga,alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa UN Bi,Anna Liboro Senga,katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) kuzungumza na Viongozi na Wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi na Wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kushoto) Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Ndg. Asaa Ahmada Rashid
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi na Wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi na Wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Ndg. Asaa Ahmada Rashid akitoa hutuba yake katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja. Picha zote na Ikulu, Zanzibar
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake