ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 30, 2016

UPDATE YA MSIBA WA UBWA JAHA

Ubwa Jaha enzi ya uhai wake
Tunatarajia kufanya mazishi ya ndugu yetu, marehemu Ubwa Jaha, siku ya Jumamosi:Desemba 31, 2016, baada ya sala ya adhuhuri 12:30pm. Maiti itasaliwa msikiti wa Bellevue, Washington.

Kwa taarifa hii tunaomba mchango wa haraka wa fedha kwa ajili kufanikisha mazishi hayo.
Gharama inayotukabili ni dola elfu nne ($4,000).

Hivi sasa maiti imehifadhiwa funeral home, Kent. Kadiri tutakavyochelewa, gharama zinapanda zaidi.

Tafadhali pitisha mchango wako:
Bank of America.
Ahmed Kayanda.
Acct. 68316520

Au wasiliana na mimi (425) 890-7428.

Tafadhalini sana tushirikiane katika hili.

Ahsante.
Ahmed

1 comment:

Anonymous said...

Watu wa USA mnahitajika muwe na mfuko wa mazishi kama sisi watu wa UK muwe mnachangishana kwa mwezi kila mtu kama dollar 15 tu hizo zitawasaidia pindi ukitokea msiba kati yenu hamtokuwa na shida ya kuomba misaada kwa watu,hella zenu ndio zitatumika,ndio tunavyo fanya sisi watu wa UK huo ni ushauri wangu kama sio hivyo mtaendelea kusumbaka mmoja wenu akiaga Dunia kila siku mpaka lini?