ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 29, 2016

USIKU WA VITA


Mkesha ,  Mkesha ,  Mkesha Mkesha,  wa Mwaka Mpya

Team Nzima ya wana Maombi ya USIKU WA VITA, Tunapenda kuwakaribisha wooote Kwenye Maomnbi Maalum ya kukaribisha Mwaka Mpya 2017, Ungana nasi tumshukuru Mungu pamoja, kwa kuwa yeye ni mwema, 
Tumwinulie Mungu sifa kwa pamoja. (Zaburi  9:1)
    • Vita ulivyo kuwa unapigana mwaka 2016, Hutaviona tena 
    • Mungu amekuona 
    • Umepata kibali kuingia 2017
    • Unao ufunguo wa mwaka 2017 -Unayo mamlaka ya kufunga na kufungua
    • Ni Mwaka wa Ushindi. Ni mwaka wa Baraka. Ni mwaka wa kufunguliwa 
    • Ni mwaka wa kupokea ahadi zote Mungu alizo kuahidi. 
    Kumbuka waliopo Hapa USA tutaungana nawewe inapofika 12:00 AM - Kwa time zone yako Tutamshangilia Mungu Pamoja na wewe Tutaanza na Time zone Kama Ifuatavyo :
    1. (Eastern Standard Time) - Atlanta Georgia , na State zingine 
    2. (Central Standard Time -  Texas na State zingine 
    3. (Pacific Standard Time)  - California na State zingine 
    Usikose kuungana nasi 
    Tarehe : December 31, 2016 
    Time : 11:00pm - 3:am - US Eastern Standard Time. 
    Prayer Line -    Dial :1-218-548-2987-  Pass Code 912280 #

    For More Info:
    Wasiliana na Watumishi wa Mungu :
    John Kazilo - 678-362-8238
    Janeth Muganyizi- 267-753-5403 

    No comments: