Monday, January 16, 2017

MWILI WA MAREHEMU AMINA ATHUMANI WAAGWA NYUMBANI JIJINI DAR

 Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam wakiusalia mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Uhuru Publications, marehemu Amina Athumani nyumbani kwao Kipunguni A jijini Dar es Salaam jana, kabla ya kusafirishwa mkoani Tanga kwa mazishi yanayofanyika leo. (Picha na Francis Dande).

 Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Uhuru Publications kabala ya kusafiriswa mkoani Tanga kwa mazishi. 
Meneja wa rasilimali Watu wa Kampuni ya  Uhuru Publications akisoma salama za rambiorambi za kampuni hiyo. 
Mkwe wa marehemu.
Baadhi ya waombolezaji. 
 Waombolezaji wakiwa msibani. 
Mwili wa marehemu ukitolewa nyumbani kwao Kipunguni A. 
 

















No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake