Tunasikitika kutangaza kifo cha mama mzazi wa Neema Mponi (Mke wa Mponi) kilichotokea jana Alasiri kule Tanzania.
Neema alisafiri Jumapili asubuhi baada ya kupata habari za kuumwa kwa mama yake, lakini akiwa njiani mama alifariki. Alipowasili Dar ndipo alipopatiwa habari za msiba wa mama yake.
Kwa habari zaidi za msiba:
Mary Mgawe (301)693-3807
Glory Semiti (301)325-1843
Eliza Cherehani (202)459-7230
Apostle Balaza (202)459-7230
Kama kawaida yetu tunaomba wote tuungane kuwapa pole na faraja familia ya Mponi:
1725 Alabama avenue #201
Washington DC. 20020
Unaweza kutuma mchango wako kwa:
Atufigwege Mponi
1. Cash application - $Atumpo
2. Bank of America
003921297986
Mungu awabariki!
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake