Karibuni sana wapendwa. Madikodiko tuko Houston. New Chakula mbali mbali vya kinyumbani tembelea Madikodiko. Na Kula Alhamisi mpaka jpili ni Madikodiko nyama choma at skybox bar. Karibuni
Sawa, lakini umbea vipi huko? Maana wabongo wa Houston kwa umbea wamezidi, kibaya Zaidi ni wanaume ndiyo wambea Zaidi shinda dada zao. Tukija huko Houston, tutakuja kuwatembelea ila jaribuni kuthibiti uswahili na umbea usio na sababu. Big up though.
Karibuni sana wapendwa. Madikodiko tuko Houston. New Chakula mbali mbali vya kinyumbani tembelea Madikodiko. Na Kula Alhamisi mpaka jpili ni Madikodiko nyama choma at skybox bar. Karibuni
ReplyDeleteVipi umbea huko, maana wabongo wa Houston bwana.....wanaume ndiyo vinara wa umbea shinda hata dada zao.
ReplyDeleteSawa, lakini umbea vipi huko? Maana wabongo wa Houston kwa umbea wamezidi, kibaya Zaidi ni wanaume ndiyo wambea Zaidi shinda dada zao. Tukija huko Houston, tutakuja kuwatembelea ila jaribuni kuthibiti uswahili na umbea usio na sababu. Big up though.
ReplyDelete