ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 17, 2017

VISIT MADIKODIKO CATERING WHEN YOU ARE IN HOUSTON, TEXAS



3 comments:

Unknown said...

Karibuni sana wapendwa. Madikodiko tuko Houston. New Chakula mbali mbali vya kinyumbani tembelea Madikodiko. Na Kula Alhamisi mpaka jpili ni Madikodiko nyama choma at skybox bar. Karibuni

Jay said...

Vipi umbea huko, maana wabongo wa Houston bwana.....wanaume ndiyo vinara wa umbea shinda hata dada zao.

Jay said...

Sawa, lakini umbea vipi huko? Maana wabongo wa Houston kwa umbea wamezidi, kibaya Zaidi ni wanaume ndiyo wambea Zaidi shinda dada zao. Tukija huko Houston, tutakuja kuwatembelea ila jaribuni kuthibiti uswahili na umbea usio na sababu. Big up though.