Advertisements

Thursday, February 9, 2017

JIPYA: kuhusu Mjane aliyejitokeza kwa Rais Magufuli

1 comment:

Anonymous said...

Hili sakata nahisi kuwa makosa hii familia ilifanya ambayo itawanyima haki marehemu alizaa watoto 7 na Bi mariam lakini hawakuwa wameona lakini majirani wanajua kwa ni wanandoa, lakini huyo mama mkenya atakuwa alicheza game vizuri kujihalalisha kuwa mke wa ndoa ambayo kisheria atawashinda wote waliozaa na marehemu bila kuwa wake wa ndoa.Kokote duniani kuzaa ni kitu kimoja lakini ndoa ni haki ya kisheria hata kama mkenya hakuwa na watoto na marehemu. Familia itasema Mkenya tapeli kisheria atawashinda na kuwanyang'anya kila kitu sababu alielimika na kusoma hii hali kabla mume wake hajafariki. Kusema ukweli wakenya ni werevu sana kuliko waTanzania na huyu mkenya anajua kulicheza hiyo game vizuri. Sababu alifanikiwa kufika mbele ya Rais JPM haki yake atapewa sababu sheria ni msumeno.